Theodora wa Rossano

Theodora wa Rossano (wilaya ya Cosenza, mkoa wa Calabria, Italia, 910 hivi – Rossano Calabro, 28 Novemba 980 [1]) alikuwa abesi wa monasteri ya Ukristo wa Mashariki huko Italia Kusini[2].

Mwanafunzi wa Nilo Kijana, akawa mwalimu wa maisha ya umonaki kwa wengine [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tarehe ya kifo chake ndiyo sikukuu yake[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. [1]
  2. Pietro Pompilio Rodota, Dell'Origine del Rito Greco in Italia osservato dai Monaci Greci, Basiliani e Albanesi, 1760, [[2]]
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93222
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.