Timu ya Taifa ya Kandanda ya Kenya
Timu ya taifa ya soka ya Kenya, iitwayo Harambee Stars , ni timu ya taifa ya Kenya na imedhibitiwa na Shirikisho la Soka la Kenya. Haijawahi kuhitimu kucheza katika Kombe la Dunia.
Shirt badge/Association crest | |||
Nickname(s) | Harambee Stars | ||
---|---|---|---|
Shirika | Kenya Football Federation | ||
Shirikisho | CAF (Africa) | ||
Kocha mkuu | Twahir Muhiddin | ||
Home stadium | Moi International Sports Centre | ||
msimbo ya FIFA | KEN | ||
cheo ya FIFA | 105 | ||
Highest FIFA ranking | 68 (Desemba 2008) | ||
Lowest FIFA ranking | 137 (Julai 2007) | ||
Elo ranking | 108 | ||
| |||
First international | |||
Kenya 1 - 1 Uganda (Nairobi, Kenya; 1 Mei 1926) | |||
Biggest win | |||
Kenya 10 - 0 Zanzibar (Nairobi, Kenya; ?, 1961) | |||
Biggest defeat | |||
Kenya 0 - 13 Ghana (Nairobi, Kenya; 12 Desemba 1965)[1] | |||
Kombe la Mataifa ya Afrika | |||
Appearances | 5 (First in 1972) | ||
Best result | Round 1, all |
Historia
haririKenya imetokea katika mashindano matano ya Kombe la Mataifa ya Africa, na haijawahi kamwe kufika raundi ya pili. Timu iliingia katika majaribio ya kufuzu katika kombe la dunia la FIFA mwaka 1974. Kufikia mwaka 2006, bado hawajahitimu michuano ya fainali.
Ahirisho la FIFA mwaka 2004
haririFIFA iliahirisha Kenya kutoka shughuli zote za soka kwa miezi mitatu mwaka 2004, kutokana na kuingiliwa na serikali katika shughuli za soka. Marufuku mara yaliachwa baada ya nchi kuukubali kuunda sheria mpya.[2]
Kupigwa marufuku ya kitaifa na FIFA mwaka 2006
hariri25 Oktoba 2006, Kenya iliahirishwa tena kutoka soka ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza mkataba wa Januari 2006 uliobuniwa kutatua matatizo yasioisha katika Shirikisho lao la Soka yao. FIFA ilitangaza kuwa ahirisho hilo lingetimizwa hadi shirikisho lirejee kwenye mikataba ya iliyofikiwa awali.[2][3]
Wachezaji maarufu
haririMafanikio ya soka Kenya
hariri- Kombe la CECAFA:
-
- Bingwa mara 5 (1975, 1981, 1982, 1983, 2002)
- Kumaliza nafasi ya pili mara 4
-
Rekodi ya Kombe la Mataifa ya Afrika
hariri{ || valign = "top"
|* 1957 - Hawakuingia
- 1959 - Hawakuingia
- 1962 - Hawakuhitimu
- 1963 - Walijitoa
- 1965-1970 - Hawakuhitimu
- 1972 - Zamu ya 1
- 1974-1982 - Hawakuhitimu
- 1984 - Hawakuingia
- 1986 - Hawakuhitimu
| width="50"| | valign = "top"
|* 1988 - Zamu ya 1
- 1990 - Zamu ya 1
- 1992 - Round 1
- 1994 - Hawakuhitimu
- 1996 - aWalijitoa
- 1998-2002 - Hawakuhitimu
- 2004 - Zamu ya 1
- 2006-2010 - Hawakuhitimu
|}
Mameneja
hariri- Ray Bachelor 1961
- Jack Gibbons 1966
- Elijah Lidonde 1967
- Eckhard Krautzun 1971
- Jonathan Niva 1972
- Ray Wood 1975
- Grzegorz Polakow 1979
- Stephen Yongo 1979
- Marshall Mulwa 1980-83
- Bernhard Zgoll 1984
- Reinhard Fabisch 1987
- Christopher Makokha 1988
- Mohammed Kheri 1988-90
- Gerry Saurer 1992
- Mohammed Kheri 1995
- Vojo Gardasevic 1996
- Reinhard Fabisch 1997
- Abdul Majid 1998
- Christian Chukwu 1998
- James Siang'a 1999-00
- Reinhard Fabisch 2001-02
- Joe Kadenge 2002
- Jacob "Ghost" Mulee 2003-04
- Twahir Muhiddin 2004-05
- Mohammed Kheri 2005
- Bernard Lama 2006
- Tom Olaba 2006
- Jacob "Ghost" Mulee 2007-08
- Francis Kimanzi 2008-2009
- Antoine Hey 2009
- Twahir Muhiddin 2009
Marejeo
hariri- ↑ "Kenya International Matches". Kenya International Matches. RSSSF. 1 Februari 2000. Iliwekwa mnamo 2007-04-10.
- ↑ 2.0 2.1 [1] ^ FIFA yaahirisha Kenya - news.bbc.co.uk - BBC michezo, BBC, 25 Oktoba 2006.
- ↑ [3] ^ FIFA yaahirisha Kenya kwa muda usiojulikana - allAfrica.com - The East African Standard (Nairobi), 25 Oktoba 2006.