Trifoni wa Campsada

Trifoni wa Campsada (Campsada, Frigia, leo nchini Uturuki, 232 - Nisea, 250) alikuwa mvulana Mkristo aliyeuawa kikatili wakati wa dhuluma ya kaisari Decius kwa ajili ya imani yake[1].

Picha takatifu ya Mt. Trifoni, Serbia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/76970
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.