Tudwali (pia: Tudwal, Tual, Tudgual, Tugdual, Tugual, Tugdualus, Pabu, Papu; Wales, mwisho wa karne ya 5 - Bretagne, leo nchini Ufaransa, 564) alikuwa mkaapweke katika kisiwa cha nchi yake asili[1], halafu askofu wa Tréguier na abati huko Bretagne alipoeneza Injili pamoja na nidhamu ya kitawa katika monasteri mbalimbali alizozianzisha [2].

Picha takatifu ya Mt. Tudwali.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Novemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • (Kiingereza) Peter Bartrum, A Welsh Classical Dictionary : People in History and Legend Up to about A.D. 1000, Aberystwyth, National Library of Wales, 1993, 649 p. (ISBN 978-0-907158-73-8), p. 713 Tudual. Breton Saint. (480)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.