Ufashisti

Ufashisti ni siasa ya mrengo wa kulia ambayo ilitawala Italia tangu mwaka 1922 hadi 1943 ikiongozwa na mwanzilishi wake, dikteta Benito Mussolini (1883-1945).

Fascio Littorio, ishara ya ufashisti iliyoupatia jina.

Kutokana nayo, aina za siasa zinazofanana zinaitwa pia ufashisti.