Ushonaji

Sanaa ya ushonaji ni ufundi unaotumika tangu zamani sana kutengeneza vitu mbalimbali kwa kutumia vifaa maalumu au mikono. Mfano wa vitu hivyo ni nguo, mapazia n.k.

Mke wa mvuvi akishona, mchoro wa Anna Ancher, 1890.

Ushonaji unasaidia kuongeza ujuzi wa kubuni; pia ushonaji unamsaidia binadamu kukidhi mahitaji yake ya kila siku na unaingiza pato kwa taifa.