Valentino wa Passau

Valentino wa Passau (alifariki Merano, leo nchini Italia Kaskazini, 7 Januari, 475) alikuwa mmonaki, tena abati kutoka Uholanzi wa leo. Papa Leo I alimfanya askofu mmisionari wa Retia (kati ya Uswisi, Ujerumani, Austria na Italia) huko Passau ya Noriko[1], katika Bavaria ya leo[2], na hatimaye mkaapweke huko Merano,[3][4].

Mt. Valentino.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Januari[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.