Valeri na Rufini (walifariki Soissons, leo nchini Ufaransa, 287 au mwanzoni mwa karne ya 4) walikuwa Wakristo waliofanya umisionari wakapata umaarufu kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya Dola la Roma[1][2][3].

Mlango wa kanisa lao huko Coulonges.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa tarehe 14 Juni[4][5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Saints of June 14". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-13. 
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/57200
  3. http://nominis.cef.fr/contenus/saint/1321/Saints-Rufin-et-Valere.html
  4. Martyrologium Romanum
  5. Rufinus is one of the 140 Colonnade saints which adorn St. Peter's Square.

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.