Varo na wenzake
Varo na wenzake (walifariki 307) walikuwa Wakristo wa Misri.
Varo alikuwa askari. Alipokwenda gerezani kutembelea wakaapweke 6 waliofungwa, alijiunga nao kushika nafasi ya mwenzao aliyefariki makao ya upwekeni.
Hatimaye wote waliteswa kikatili na kuuawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Masimiano [1].
Majina ya wenzake hayajulikani.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- The Life of Holy Martyr Varus. Reprinted From Orthodox Life Vol. 44, No5 - October 1994
- Catholic saints: St. Varus
- The Cult of St. Varus
- St. Varus the Martyr Ilihifadhiwa 20 Juni 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |