Venansi Fortunati (jina kamili la Kilatini: Venantius Honorius Clementianus Fortunatus; Valdobbiadene, karibu na Treviso, leo nchini Italia, 530 hivi - Poitiers, 11 Januari 600 hivi) alikuwa askofu wa Poitiers kuanzia mwaka 593 hadi kifo chake.

Mt. Venansi akisoma tenzi zake kwa malkia Radegunda VI.

Pia alikuwa mshairi aliyesimulia matendo ya kishujaa ya watakatifu wengi na kutunga tenzi fasaha juu ya Msalaba mtakatifu. [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Desemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Brennan, Brian. "The career of Venantius Fortunatus", Traditio, Vol 41 (1985), 49–78.
  • Brennan Brian. "The image of Frankish Kings in the poetry of Venantius Fortunatus", Journal of Medieval History Vol. 3 (March 1984).
  • Brennan Brian. "The image of the Merovingian Bishop in the poetry of Venantius Fortunatus", Journal of Medieval History Vol 6 (June 1992).
  • George, J. Venantius Fortunatus: Personal and Political Poems. Liverpool: Liverpool University Press, 1995.
  • George, J. Venantius Fortunatus: A Latin Poet in Merovingian Gaul. Oxford: Clarendon Press, 1992.
  • Heikkinen, Seppo. "The Poetry of Venantius Fortunatus: The Twilight of Roman Metre," in Maria Gourdouba, Leena Pietilä-Castrén & Esko Tikkala (edd), The Eastern Mediterranean in the Late Antique and Early Byzantine Periods (Helsinki, 2004) (Papers and Monographs of the Finnish Institute at Athens, IX),
  • Livorsi, Lorenzo (2023). Venantius Fortunatus's Life of St Martin: Verse Hagiography between Epic and Panegyric. Bari: Edipuglia. ISBN 9791259950239.
  • Reydellet, M. Venance Fortunat, Poèmes, 3 vols., Collection Budé, 1994–2004.
  • Roberts, Michael. The Humblest Sparrow: The Poetry of Venantius Fortunatus. Ann Arbor, Michigan: University of Michigan, 2009.
  • Roberts, Michael, ed. and trans., Venantius Fortunatus Poems. Cambridge, MA: Harvard University Press, 2017.
  • "Venantius Fortunatus", in The Saints: A Concise Biographical Dictionary (1958), reprint, n.d., New York: Guild Press.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.