Vigbati
Vigbati (pia: Wigbert, Wihtberht; Wessex, 7 Mei 675 - Fritzlar, katika Ujerumani wa leo, 13 Agosti 747) alikuwa padri na mmonaki Wabenedikto kutoka Uingereza[1] aliyekwenda barani kama mmisionari pamoja na Bonifas ambaye alimfanya abati wa kwanza huko alipokuja kufariki[2].
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama watakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |