Vinsenti, Sabina na Kristeta

Vinsenti, Sabina na Kristeta (Talavera de la Reina, Hispania, karne ya 3 - Avila, Hispania, 304) walikuwa ndugu waliouawa pamoja kikatili wakati wa kukimbia dhuluma ya kaisari Dioklesyano dhidi ya Wakristo[1][2] [3].

Wat. Vinsenti na dada zake walivyochorwa katika karne ya 16 wakiwa na Mt. Antoni wa Padua.

Heshima ya watu kwao kama watakatifu wafiadini ni ya zamani sana.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Oktoba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-23. Iliwekwa mnamo 2021-10-15.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-23. Iliwekwa mnamo 2021-10-15.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75460
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.