Vitalis wa Gaza (alifariki 625) alikuwa mmonaki mkaapweke wa Gaza, Palestina, ambaye alipofikia umri wa miaka 60 alijisikia wito wa kwenda Aleksandria, Misri, ili kuokoa makahaba[1].

Bila kujali masingizio dhidi yake, alifanya hivyo kwa mafanikio makubwa, kiasi kwamba hatimaye alipigwa kisu kichwani ili asivuruge hiyo biashara haramu ya watu.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Januari na 22 Aprili.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.