Vitoriko na Fushano

Vitoriko na Fushano (walifariki Amiens, leo nchini Ufaransa, karne ya 3 hivi) walikuwa Wakristo wa mji huo waliofia dini yao[1].

Inasemekana walitokea Roma, Italia kama wamisionari.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Desemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.