Viviana wa Roma

Viviana wa Roma (pia: Bibiana; alifariki Roma, labda 360) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1].

Sanamu ya Mt. Bibiana, kazi ya Gian Lorenzo Bernini, Roma.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Desemba[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.