Papa Simplicio

Papa Simplicio alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Machi 468 hadi kifo chake tarehe 10 Machi 483[1]. Alitokea Tivoli, Roma, Italia.

Mt. Simplisi.

Alimfuata Papa Hilarius akafuatwa na Papa Felix III.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Machi.[2]

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Simplicio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.