Vumari
Vumari ni kata ya Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Kata hii ina maeneo maarufu sana kwa kilimo cha mahindi na maharage lugha ya watu hawa ni Kipare. Maeneo hayo ni Kiriveni,Chato,Minyala,ighire M-bono,Bughuru,Mshewa,Dido na Mghunga.[1]
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,117 [2].Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,908 [3] walioishi humo. J
Kwenye kata ya Vumari kuna ukoo unaoitwa Mmbaga ambao unajulikana kwa jina la Rain Maker; huku kuna mila zenyewe kabisa.
Marejeo
hariri- ↑ Vumari. Mmbaga@2024
- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Same DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-21.
Kata za Wilaya ya Same - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ||||
---|---|---|---|---|
Bangalala | Bendera | Bombo | Bwambo | Chome | Gavao Sawene | Hedaru | Kalemawe | Kihurio | Kirangare | Kisima | Kisiwani | Lugulu | Mabilioni | Makanya | Maore | Mhezi | Mpinji | Mshewa | Msindo | Mtii | Mwembe | Myamba | Ndungu | Njoro | Ruvu | Same Mjini | Stesheni | Suji | Tae | Vudee | Vuje | Vumari | Vunta
|