Wafiadini wa Aleksandria (10 Agosti)

Wafiadini wa Aleksandria (walifariki 259 hivi) ni kundi kubwa la Wakristo wa Aleksandria (Misri) ambao chini ya liwali Emiliani waliteswa kwa ukatili wa kila namna na hatimaye wakauawa kwa njia tofautitofauti wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian kwa sababu ya imani yao[1].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Agosti[2][3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.