Wafiadini wa Lycopolis

Wafiadini wa Lycopolis (walifia dini katika mji huo wa Misri, 249 hivi) wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Askari hao sita wanaheshimiwa tangu kale kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 1 Juni[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.