Wamonaki wafiadini wa Konstantinopoli

Wamonaki wafiadini wa Konstantinopoli (walifia dini Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 485 hivi) walikuwa wamonaki waliouawa kwa kuwasilisha barua ya Papa Felix III ya kutetea imani sahihi dhidi ya Patriarki Acacius[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 8 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.