Wanawake wafiadini wa Marmara

Wanawake wafiadini wa Marmara (walifariki Marmara Ereğli, leo nchini Uturuki, 312 hivi) walikuwa Wakristo arubaini, wakiwemo mabikira na wajane, waliofia dini yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.