Waswevi
Waswevi (au Waswebi) walikuwa kabila la Kigermanik ambao baadhi yao katika karne za kwanza BK walihama kutoka sehemu za Ulaya ya Kati hadi Hispania kaskazini mashariki na Ureno kaskazini za leo wakiunda ufalme wao uliodumu miaka 410-584.
Kwanza walipokea Ukristo kutoka kwa Waario, lakini baadaye wakajiunga na Kanisa Katoliki kwa juhudi za Martino wa Braga.
Marejeo
hariri- Ferreiro, Alberto. "Braga and Tours: Some Observations on Gregory's De virtutibus sancti Martini." Journal of Early Christian Studies. 3 (1995), p. 195–210.
- Thompson, E. A. "The Conversion of the Spanish Suevi to Catholicism." Visigothic Spain: New Approaches. ed. Edward James. Oxford: Oxford University Press, 1980. ISBN|0-19-822543-1.
- Reynolds, Robert L., "Reconsideration of the history of the Suevi", Revue belge de pholologie et d'histoire, 35 (1957), p. 19–45.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Chronicle of Hydatius is the main source for the history of the Suebi in Galicia and Portugal up to 468.
- Identity and Interaction: the Suevi and the Hispano-Romans, University of Virginia, 2007
- Medieval Galician anthroponomy
- Minutes of the Councils of Braga and Toledo, in the Collectio Hispana Gallica Augustodunensis
- Orosius' Historiarum Adversum Paganos Libri VII
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waswevi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |