Watugen ni jina la kabila dogo la Waniloti ambalo huhesabiwa katika kabila kuu la Wakalenjin.

Wanahesabiwa kuwa 350,000 na kuishi nchini Kenya, hasa katika kaunti ya Baringo na kaunti ya Nakuru.

Rais wa pili wa Kenya, Daniel arap Moi (1978-2002), ni wa kabila hilo.

Wao huongea Kitugen, lahaja ya lugha ya Kikalenjin, mojawapo ya lugha za Kiniloti.

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watugen kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.