Werburga
Werburga (pia: Wærburh, Werburh au Werburgh; Stone, Mercia, 650 hivi[1] - Trentham, Staffordshire, 3 Februari 699[2]) alikuwa malkia mdogo huko Uingereza.
Alianzisha monasteri kadhaa na hatimaye kujiunga na ile ya Ely ambayo ilianzishwa na kuongozwa na ndugu zake, akawa abesi wake baada ya mama yake, Mt. Ermenilda.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "St Werburgh's Roman Catholic Parish, Chester". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-10. Iliwekwa mnamo 2018-06-28.
- ↑ ""History – St. Werburgh", The Parish Church of St. Werburgh, Spondon, (Church of England)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2018-06-28.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Gordon Emery, Curious Chester (1999) ISBN 1-872265-94-4
- Gordon Emery, Chester Inside Out (1998) ISBN 1-872265-92-8
- Gordon Emery, The Chester Guide (2003) ISBN 1-872265-89-8
- Roy Wilding, Death in Chester (2003) ISBN 1-872265-44-8
Viungo vya nje
hariri- Life of St Werbergh
- St Werberga and her royal and saintly relatives at Ely
- Reference to Earl Hugh building the abbey church Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- Steve Howe's 'Chester: a Virtual stroll Around the Walls'
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |