Wikipedia:Wakabidhi/2

Mkabidhi : FlowerpartyEdit

Husika na kichwa cha habari hapo juu, ni mtumiaji "Flowerparty" anayeomba ukabidhi ili aweze kurekebisha jamii zetu na mambo mengine yanayohusiana na Wikipedia hii. Tazama sababu zilipelekea yeye kutaka kuwa msimamizi. Natumai ya kwamba wakubwa zangu mtaliafki hili.

SupportEdit

 1. Nikiwa kama mteuzi, ninampigia kura ya ndiyo.--Mwanaharakati (Longa) 10:16, 9 Julai 2009 (UTC)
 2. Ameshatusaidia sana na anastahili kuwa mkabidhi. Namuunga mkono asilimia mia moja. --Baba Tabita (majadiliano) 12:37, 9 Julai 2009 (UTC)
 3. Yes, support. --Mr Accountable (majadiliano) 22:26, 9 Julai 2009 (UTC)
 4. Kisha kusoma jibu la Mwanaharakati kwa Malangali, naunga mkono. Kazi njema kwa viongozi wetu wote! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:39, 11 Julai 2009 (UTC)
 5. Sioni kipingamizi, kwa hivyo nasema ndiyo. ChriKo (majadiliano) 10:57, 12 Julai 2009 (UTC)

NeutralEdit

 1. Jamaa hajui Kiswahili, na anataka kubadilisha mambo machache tu. Sioni sababu. Malangali (majadiliano) 14:40, 9 Julai 2009 (UTC)
Sawa. Anajua Kiswahili kiasi, lakini mambo anayoyafanya yeye (kusahihisha jamii, mbegu, na kadhalika), ni shughuli ndogo-ndogo tena ambazo hazishughulikiwi na wengi zaidi yake yeye, Oliver na Mr. Accountable. Anafanya hizo shughuli na inafikia kipindi kwake inakuwa ngumu kuondosha jamii nyingine ilhali hana haki za usimamizi. Pia, ukabidhi mtu anapewa kwa kufuatia idadi ya uhariri anaofanya. Hasa ukifikisha 100 (kwa taratibu za wenzetu). Yeye ana. Si kitu. Anataka kusaidia tu.--Mwanaharakati (Longa) 07:24, 10 Julai 2009 (UTC)

Uchaguzi uliopitaEdit

Bureaucrat : MwanaharakatiEdit

Nilipopokea kazi ya usimamizi karibu mwaka na nusu uliopita sasa, ilikuwa tumaini langu la kwamba Mtanzania atashika majukumu hayo wakati ujao. Sasa wakati umefika. Namteua Bwana Muddyb au Mwanaharakati achaguliwe kuwa msimamizi mkuu (b'crat) pamoja nasi. Tayari ni mkabidhi, amejitahidi kuliko sote katika mwaka huu uliopita. Tena anaelewa mambo ya kompyuta kuliko wasimamizi wakuu waliopo. Namuunga mkono asilimia mia moja. --Baba Tabita (majadiliano) 07:07, 28 Mei 2009 (UTC)

SupportEdit

 1. I give my full support and vote for Muddyb Blast Producer (Mohammed George) as Bureaucrat. Jhendin (majadiliano) 20:48, 28 Mei 2009 (UTC)
 2. Hata mimi ninapiga kura kwa Bwana Muddyb. ChriKo (majadiliano) 21:55, 28 Mei 2009 (UTC)
 3. GerardM (majadiliano) 06:33, 29 Mei 2009 (UTC) I love him for his support at translatewiki.net in my opinion one of the more important ways of helping people understand what is expected of them.
 4. Nakubali anafaa. --Kipala (majadiliano) 18:16, 29 Mei 2009 (UTC)
 5. Nafurahi kabisa kuunga mkono wangu. Malangali (majadiliano) 12:59, 30 Mei 2009 (UTC)
 6. Naunga mkono. Lloffiwr (majadiliano) 13:04, 30 Mei 2009 (UTC)
 7. Hiyo itakuwa poa zaidi. --Montero(Ongea) 08:17, 31 Mei 2009 (UTC)
 8. Nakubali kwa moyo wote. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:18, 1 Juni 2009 (UTC)
 9. Nakubali pia. Marcos (majadiliano) 10:56, 5 Juni 2009 (UTC)
 10. Hakika nakubali. Sj (majadiliano) 19:29, 5 Juni 2009 (UTC)

Muddyb BlastEdit

Ateuliwe kuwa mkabidhi ili aweze kulinda makala za wikipedia. Amehariri zaidi ya mara 2,440 toka ajiunge. --Mwanaharakati 12:05, 31 Januari 2008 (UTC)

SupportEdit

 1. Namwunga mkono. ameshapata uzoefu akionyesha bidii. --User_talk:Kipala 14:14, 31 Januari 2008 (UTC)
 2. --Per Angusta 08:26, 1 Februari 2008 (UTC)
 3. Sj 06:45, 2 Februari 2008 (UTC)
 4. Ndiyo, anaonyesha juhudi nyingi. --ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
 5. Nakubali. Marcos 23:13, 5 Februari 2008 (UTC)
 6. Kura yangu ni "ndiyo" Malangali 08:26, 6 Februari 2008 (UTC)
 7. Naunga mkono. --Ndesanjo (majadiliano) 09:53, 13 Machi 2008 (UTC)

MalangaliEdit

 • Najiteua kuwa mkabidhi, ili nisaidie kwenye utafsiri wa MediaWiki kwa sw.wikipedia. User:Malangali 13:03, 17 Desemba 2007 (UTC)

SupportEdit

Bureaucrat : KipalaEdit

Namteua Kipala anisaidie katika kazi za kibureaucrat. Mara kwa mara kazi yangu mpya hapa Nairobi itanisafirisha kwa wiki kadhaa kwenda maeneo ambapo hakuna mtandao hata kidogo. Kipala ameonyesha bidii na busara, tena ni mkubwa wangu humo mwenye wikipedia ya Kiswahili. Kwa hiyo apewe cheo hicho cha Bureaucrat. --Oliver Stegen 09:08, 1 Machi 2008 (UTC)

SupportEdit

 1. Cheo, chamfaa. Mahudhurio yake ni makubwa mno. Anastahili.--"Mwanaharakati" (talk) 11:50, 1 Machi 2008 (UTC)
 2. Marcos
 3. Nakubali kabisa. ChriKo 11:16, 2 Machi 2008 (UTC)
 4. Ndiyo. Malangali 18:20, 4 Machi 2008 (UTC)
 5. Naunga mkono. --Ndesanjo (majadiliano) 09:49, 13 Machi 2008 (UTC)

Bureaucrat : Oliver StegenEdit

Oliver, anafaa kuwa na cheo hicho cha Bureaucrat, hivyo apewe tu. --Mwanaharakati 11:28, 31 Januari 2008 (UTC)

SupportEdit

 • Yes I think that Matt has been inactive for more than half a year. I think Oliver is best placed to perform that task. --User_talk:Kipala 14:14, 31 Januari 2008 (UTC)
 • Ndio -- Sj 06:45, 2 Februari 2008 (UTC)
 • Ana stahili cheo hicho.--Mwanaharakati (talk) 12:45, 2 Februari 2008 (UTC)
 • Nakubali.--ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
 • Nakubali pia. Marcos 23:13, 5 Februari 2008 (UTC)
 • Afadhali. Malangali 08:23, 6 Februari 2008 (UTC)
 • Naunga mkono kabisa. --Ndesanjo 22:18, 11 Februari 2008 (UTC)

NeutralEdit

 • Sina uhakika kama nitaweza kuongeza muda ninaoushinda humo. Nilikuwa nimeshatangaza kuwa nitakosekana mara kwa mara baada ya kurudi Afrika Mashariki. Ndiyo sababu nimekuwa kimya, hapo kwa siku chache, hapo kwa wiki kadhaa. Nisingependa kuwavunjieni mioyo. Haya, uchaguzi ni wenu ... Mbarikiwe! --Oliver Stegen 14:59, 7 Februari 2008 (UTC)

Usiwe na hofu Mungu yupo na wewe. Tumekuchaguwa ili uweze kuendesha daraka hilo. Baraka za watu wote waliokupigia kula ziko juu yako, hivyo usitie shaka!! Kaza buti... Tupo pamoja.--Mwanaharakati (talk) 16:09, 7 Februari 2008 (UTC)