Wilaya ya Nyeri
Wilaya ya Nyeri ilikuwa wilaya mojawapo ya mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Nyeri | |
Mahali pa Wilaya ya Nyeri katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Nyeri |
Eneo | |
- Jumla | 2,361 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 693,558 |
Makao makuu yalikuwa mjini Nyeri.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nyeri.
Wilaya hiyo ilikuwa na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 3,356 [1] katika maeneo ya kusini mashariki mwa Mlima Kenya.
Ilikuwa na jumla ya wakazi 661,156. Wenyeji ni haswa wa kabila la Wakikuyu.
Serikali za Mitaa
haririSerikali ya Mitaa | Aina | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Nyeri | Manispaa | 98,908 | 46,969 |
Karatina | Manispaa | 6,852 | 6,852 |
Othaya | Mji | 21,427 | 4,108 |
Nyeri county | Baraza la mji | 533,969 | 10,047 |
Maeneo ya utawala
haririTarafa | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Kieni east | 83,635 | 2,643 | Naro Moru |
Kieni west | 68,461 | 5,017 | Mweiga |
Mathira | 150,998 | 6,275 | Karatina |
Mukurwe-ini | 87,447 | 1,525 | Kiahungu |
Nyeri municipality | 101,238 | 40,497 | Nyeri |
Othaya | 88,291 | 3,846 | Othaya |
Tetu | 80,100 | 0 |
Maeneo Bunge
haririWilaya hii ina maeneo bunge sita: