Eneo bunge la Tetu
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Tetu)
Eneo bunge la Tetu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo Bunge la Tetu linajumuisha tarafa ya Tetu katika Wilaya ya Nyeri. Eneo Bunge la Tetu lote liko katika eneo la Baraza la Mji wa Nyeri.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wangari Maathai amekuwa mbunge wa Tetu tangu uchaguzi wa 2002. Alituzwa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004.
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Nahashon Kanyi Waithaka | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
1992 | Joseph Gethenji | Democratic Party (DP) | |
1997 | Paul Gikonyo Muya | Democratic Party (DP) | |
2002 | Wangari Maathai | NARC | |
2007 | Francis Nyammo | Party of National Unity (PNU) |
Wadi
hariri' | |
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
---|---|
Aguthi | 14,571 |
Karundu | 9,708 |
Muhoya | 5,719 |
Tetu | 6,494 |
Thingingi | 7,756 |
Jumla | 44,248 |
*Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya nje
hariri- Eneo Bunge la Tetu Archived 6 Novemba 2007 at the Wayback Machine.
- Uchaguzikenya.com - Constituency profile Archived 17 Julai 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Tetu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |