Wilibaldi

Wilibaldi (Wessex, Uingereza, 22 Septemba 700Eichstaett, Ujerumani, 7 Julai 787 au 788) alikuwa mmonaki Mbenedikto maarufu kwa umisionari wake katika Ujerumani ya leo.

Sanamu yake huko Munich.

Alikuwa askofu wa kwanza wa Eichstaett akafariki huko.

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu, hasa baada ya kutangazwa na Papa Leo VII (938).

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

VyanzoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.