Papa Gregori III

Mt. Gregori III.

Papa Gregori III alikuwa papa kuanzia 18 Machi, 731 hadi kifo chake tarehe 28 Novemba, 741. Alizaliwa katika nchi ya Syria.

Alimfuata Papa Gregori II akafuatwa na Papa Zakaria.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 28 Novemba.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Kuhusu Papa Gregori III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.