Wolfgang Mtakatifu

Wolfgang wa Regensburg, O.S.B. (934 hivi – 31 Oktoba 994) alikuwa askofu wa Regensburg, Bavaria, Ujerumani, kuanzia Krismasi 972 hadi kifo chake. Anatazamwa mmojawapo wa maaskofu bora wa Ujerumani wakati wake pamoja na Ulrich wa Augsburg na Konrad wa Constance.

Mt. Wolfgang katika kioo cha rangi, Leising.

Alitangazwa mtakatifu na Papa Leo IX tarehe 8 Oktoba 1051 na anaheshimiwa hivyo na Waorthodoksi na Waanglikana pia.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Der heilige Wolfgang, Bischof von Regensburg; historische Festschrift zum neunhundertjährigen Gedächtnisse seines Todes, ed., in connection with numerous historical scholars, by MEHLER (Ratisbon, 1894), among the chief collaborators on this work being BRAUNMULLER, RINGHOLZ (of Einsiedeln), and DANNERBAUER; KOLBE, Die Verdienste des Bischofs Wolfgang v. R. um das Bildungswesen Suddeutschlands. Beitrag z. Gesch. der Padogogik des X und XI Jahrhunderis (Breslau, 1894);
  • WATTENBACH, Deutschlands Geschichtsquellen im Mittelalter, I (Berlin, 1904), 449-452;
  • DETZEL, Christl.
  • Iknographie, II (Freiburg, 1896), 683;
  • POTTHAST, Bibl. medii aevi, II (Berlin, 1896), 1641.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.