Ulrich wa Augsburg

Ulrich wa Augsburg (pia: Uodalric au Odalrici; Kyburg, Zurich, sasa nchini Uswisi, 893Augsburg, Ujerumani, 4 Julai 973) alikuwa askofu wa mji huo tangu tarehe 28 Desemba 923 hadi alipofariki miaka 50 baadaye.

Mt. Ulrich.

Alikuwa maarufu kwa matendo ya toba na ukarimu[1].

Ndiye Mkristo wa kwanza kutangazwa mtakatifu na Papa mwenyewe (Papa Yohane XV, 4 Julai 993). Mbali ya Kanisa Katoliki, Waorthodoksi pia wanamheshimu hivyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.