Yohane Macias
Yohane Macias, O.P. (Ribera del Fresno, Extremadura, Hispania, 2 Machi 1585 – Lima, Peru, 16 Septemba 1645) alikuwa bradha wa Shirika la Wahubiri katika nchi ya Peru, rafiki wa Martin de Porres.
Kutoka Hispania, mwaka 1619 alihamia Amerika Kusini[2][3] na miaka 3 baadaye alijiunga na utawa alipodumu kwa uaminifu katika kazi duni hadi kifo chake akisali Rozari kwa ajili ya marehemu na kuwatendea kwa huruma wagonjwa na maskini[4][5].
Mwaka 1837 alitangazwa mwenye heri na Papa Gregori XVI, halafu mwaka 1975 akatangazwa na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu[6].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Floyd, Emily C., "Reconstructing the Faces of the Saints", MAVCOR
- ↑ "Blessed John Macias (1585-1645)", Dominicans of Canada
- ↑ Couesnongle, O.P., Vincent de, "The social message of John Macias", A plea for Itinerant Preaching Conference, Rome 1975
- ↑ "Dominican Saints 101: St. Juan Macias", Dominican Friars Province of St. Joseph, September 18, 2011
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90802
- ↑ Canonización de Juan Macías vatican.va, article in Spanish
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |