Uaminifu
Uaminifu (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: faithfulness) ni tabia njema ya mtu inayomfanya akubalike kwa wengine hata wakampatia dhamana ya pesa au mamlaka fulani.
Kwa kawaida unapatikana kwa kuishi sawasawa na maadili ya Mungu, dini au jamii; kwa mfano sheria na taratibu za asasi, kampuni au serikali.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |