Yohane wa Brito, S.J. (pia: Arul Anandar; Lisboa, Ureno, 1 Machi 1647 – Orur, Tamil Nadu, India, 4 Februari 1693) alikuwa padri Mjesuiti mmisionari nchini India hadi kifodini chake[1] .

Kifodini cha Mt. Yohane wa Brito.

Alivuta wengi katika Ukristo kwa kuishi namna ya kitawa ya wamonaki Wahindu.

Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Agosti 1853, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 22 Juni 1947.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.