Yohane wa Buonagiunta
Yohane wa Buonagiunta (alifariki Monte Senario, Italia 1257) alikuwa mmojawapo[1] kati ya waanzilishi saba wa shirika la Watumishi wa Maria[2].
Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 1 Desemba 1717, halafu Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu pamoja na wenzake tarehe 15 Januari 1888.
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 17 Februari[3].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Legenda de origine Ordinis fratrum Servorum Virginis Mariae auctore incerto 1317, a cura di Agostino M. Morini, OSM in: Monumenta Ordinis Servorum Sanctae Mariae (M.O.S.), I, Bruxelles 1897, pp. 60-106.
Viungo vya nje
hariri- 17 February saints Ilihifadhiwa 12 Februari 2012 kwenye Wayback Machine. at St. Patrick Catholic Church
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |