Yohane wa Trogir, O.S.B.Cam. (Roma, Italia, 1034 hivi - Trogir, leo nchini Korasya, 14 Novemba 1111) alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Wabenedikto wa Camaldoli katika makao ya upwekeni huko Osor.

Sanamu yake.

Alipofanywa askofu wa Trogir, alilinda mji huo dhidi ya mashambulizi ya Kolomani wa Hungaria [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Novemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/77580
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.