Yohane wa Valence, O.Cist. (alifariki Valence, 21 Machi 1146) alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Citeaux aliyeanzisha monasteri ya Bonnevaux akawa askofu wa mji huo (leo nchini Ufaransa).

Aliteseka sana kwa kutetetea haki akapata umaarufu kwa upendo wake kwa wakulima, fukara na wafanyabiashara waliofilisika [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Pius X alithibitisha heshima hiyo mwaka 1903[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Machi[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/46340
  2. Index ac status causarum (1999), pp. 464 e 599.
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo hariri

  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.