Yosefu Manyanet
Yosefu Manyanet (jina kamili: Josep Manyanet i Vives; Tremp, Lleida, 7 Februari 1833 – San Andreu del Palomar, Barcelona, 17 Desemba 1901) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Hispania.
Baada ya kuwa paroko sehemu mbalimbali, alianzisha shirika la Wana wa Familia Takatifu, pamoja na lile ya Mabinti Wamisionari wa Familia Takatifu ili kusaidia familia zote kuwa bora kwa kufuata mfano wa ile takatifu ya Yesu, Maria na Yosefu.[1][2][3]
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 25 Novemba 1984 halafu mtakatifu tarehe 16 Mei 2004.[4]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Saint Josep Manyanet y Vives". Saints SQPN. 16 Desemba 2015. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Josep Manyanet y Vives (1833-1901)". Vatican News Services. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/91419
- ↑ "Saint Josep Manyanet y Vives". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Machapisho yake
hariri- A Priceless Family Gem (1909)
- The Spirit of the Holy Family
- Selected Works (1911)
- Complete Works
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |