Yustina wa Mainz (alifariki 451 hivi) alikuwa dada wa Aureus wa Mainz, askofu wa kwanza kujulikana wa Mainz, leo nchini Ujerumani, katika nusu ya kwanza ya karne ya 5.

Walitokea Ufaransa ya leo wakauawa na wavamizi Wahunni Wapagani wakati wa kuadhimisha Misa [1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu pamoja na wafiadini wenzao.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Juni[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.