Zita wa Lucca (Lucca au Succisa, 1218 - Lucca 27 Aprili 1278) alikuwa bikira mlei wa Italia aliyejitokeza kwa wema na ukarimu wa pekee[1].

Mt. Zita alivyochorwa mwaka 1712.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu[2]. Papa Inosenti XII alithibitisha heshima hiyo tarehe 5 Septemba 1696.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Aprili[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/32050
  2. E. Cecchi, N. Sapegno, Storia della Letteratura italiana, vol. II, Il Trecento, Garzanti, Milano, 1965, p. 69
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Simonetta Simonetti, Santa Zita di Lucca, Ed. Pacini Fazzi, 2006
  • Vittorio Sermonti, Inferno, Rizzoli, 2001
  • Umberto Bosco e Giovanni Reggio, La Divina Commedia - Inferno, Le Monnier, 1988
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.