Papa Innocent XII

Papa Innocent XII (13 Machi 161527 Septemba 1700) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/15 Julai 1691 hadi kifo chake[1]. Alitokea Spinazzola, Italia[2].

Papa Inosenti XII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Antonio Pignatelli.

Alimfuata Papa Aleksanda VIII akafuatwa na Papa Klementi XI.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.