Zoelo wa Listra (alifariki Listra, Likaonia, Uturuki wa leo, karne ya 2 au ya 3) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Mei[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.