Zosimo wa Sirakusa
Zosimo wa Sirakusa (aliishi karne ya 7) alikuwa mmonaki wa Siracusa, Sicilia, Italia, ambaye alitazamwa kama mtu asiyeweza kitu, kumbe askofu alimfanya abati wa monasteri, halafu waumini walimchagua kuwa askofu wao. Aliongoza jimbo hilo miaka 647-662[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |