Östergötlands län (Kiswahili: Wilaya ya Östergötland) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Linköping.