Södermanlands län (Kiswahili: Wilaya ya Södermanland) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Nyköping.