Kronobergs län (Kiswahili: Wilaya ya Kronoberg) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Växjö.