Hallands län (Kiswahili: Wilaya ya Halland) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Halmstad.