Stockholms län (kwa Kiswahili: Wilaya ya Stockholm) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Stockholm.