Uppsala län (Kiswahili: Wilaya ya Uppsala) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Uppsala.