Open main menu

MatukioEdit

  • 13 Machi - Sayari ya Uranus imegunduliwa na William Herschel.
  • 4 Septemba - walowezi 44 waunda kijiji cha Los Angeles (jina kamili: El Pueblo de Nuestra Señora la Reina de los Ángeles de Portiuncula) ambayo leo hii ni ni mji mkubwa wa ili wa Marekani.
  • 19 Oktoba - Wanajeshi wa Uingereza wajisalimisha mjini Yorktown (Virginia) baada ya kushindwa na Wamarekani wanaosaidiwa na Wafaransa katika mapigano makubwa ya mwisho wa vita ya uhuru ya Marekani.

WaliozaliwaEdit

1781 katika kalenda nyingine
Kalenda ya Gregori 1781
MDCCLXXXI
Kalenda ya Kiyahudi 5541 – 5542
Kalenda ya Ethiopia 1773 – 1774
Kalenda ya Kiarmenia 1230
ԹՎ ՌՄԼ
Kalenda ya Kiislamu 1195 – 1196
Kalenda ya Kiajemi 1159 – 1160
Kalenda za Kihindu
- Vikram Samvat 1836 – 1837
- Shaka Samvat 1703 – 1704
- Kali Yuga 4882 – 4883
Kalenda ya Kichina 4477 – 4478
庚子 – 辛丑

WaliofarikiEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: